Taarifa mpya kuhusu UVIKO-19: Australia ya ahirisha kufunguliwa kwa mipaka yakimataifa, baraza lakitaifa lakutana kujadili aina mpya ya kirusi ya Omicron

Hii ni taarifa mpya kuhusu Coronavirus nchini Australia kwa 30 Novemba 2021.

Greg Hunt, Karen Andrews and Paul Kelly.

Greg Hunt, Karen Andrews and Paul Kelly. Source: AAP Image/Mick Tsikas

  • Australia  kwa watu wenye viza za ujuzi, wanafunzi pamoja na watu wenye viza zakibinadam, watu wenye viza zakufanya kazi wakiwa likizoni pamoja na watu wenye viza za familia kuanzia 1 Disemba hadi 15 Disemba.
  • Waziri wa Shirikisho wa Afya Greg Hunt amesema ushauri waki Afya utaongoza mageuzi yoyote ya usoni kwa hatua hiyo.
  • Upinzani wa shirikisho ume unga mkono uamuzi wa serikali, wakusogeza mbele hatua yakufungua mipaka yakimataifa.
  • Baraza lamawaziri lakitaifa limeratibiwa kukutana leo, kujadili majibu yakitaifa, jimbo na wilaya kwa tisho la aina mpya ya kirusi cha Omicron wakati naibu afisa mkuu wa afya amesema maambukizi ya kirusi hicho yamo ndani ya jamii.
  • Kuna kesi sita ambazo zime thibitishwa za aina ya kirusi cha Omicron, ambazo ziko ndani ya karantini nchini Australia.
  • Jimbo la Magharibi Australia linakaribia kkwa sekta kadhaa.
  •  ime amuru wafanyakazi katika sekta zinazo zingatiwa kuwa zenye hatari kubwa wapate chanjo kuanzia 17 Disemba.

TAKWIMU ZA UVIKO-19:

Victoria imerekodi kesi mpya 918 ndani ya jamii pamoja na vifo sita.
NSW imerekodi kesi mpya 179 ndani ya jamii pamoja na vifo vitatu.

Kwa hatua ambazo zipo kwa sasa katika jibu la janga la UVIKO-19 katika lugha yako, bonyeza 


Karantini na vizuizi jimbo kwa jimbo:

Usafiri

 na UVIKO-19 na taarifa za usafiri 

Msaada wa fedha

Kuna mageuzi kwa malipo ya janga ya UVIKO-19, punde majimbo yanapo fikisha lengo la 70% na 80% ya watu ambao wame pata chanjo kamili: 


 


 





Tazama rasilimali zilizo tafsiriwa nakuchapishwa na Huduma ya Mawasiliano ya Afya ya Tamaduni nyingi ya NSW:



Zahanati za vipimo katika kila jimbo na wilaya:

 
 

Share
Published 30 November 2021 3:15pm
By SBS/ALC Content
Presented by Gode Migerano
Source: SBS


Share this with family and friends