- Wilaya ya Kaskazini kuendelea chini ya vizuizi au sheria zakuto toka hadi 4 Disemba, baada ya wilaya hiyo kurekodi kesi mpya 3 za maambukizi ndani ya jamii, ambayo moja yazo ilimhusu mtoto mchanga.
- Kiongozi wa Queensland Annastacia Palaszczuk amesema safari za haraka za kwenda Sydney ni marufuku, hadi wakati jimbo la Queensland litakapo fikisha lengo la 90% ya chanjo.
- NSW imeomba mageuzi kwa mfumo wa vipimo kwa wasafiri wa ndani ya nchi.
- Jimbo la Kusini Australia limefungua usafiri bila sharti la karantini, kwa wasafiri kutoka NSW, ACT na Victoria. Idadi ya wasafiri 43,000 wameomba ruhusa yakusafiri kupitia tovuti ya tangu mchana wa Ijumaa.
- Watu wanao safiri kutoka halmashauri za jiji zenye chini ya kiwango cha 80% ya chanjo, na ambako bado kuna maambukizi ya virusi ndani ya jamii, itabidi waingie katika karintini jimboni Kusini Australia.
TAKWIMU ZA UVIKO-19:
Victoria imerekodi kesi mpya 827 za maambukizi ndani ya jamii pamoja na vifo 19. Kati ya vifo hivyo 17 walikuwa hawaja chanjwa.
NSW imerekodi kesi mpya 173 za maambukizi ndani ya jamii, pamoja na vifo viwili.
ACT imerekodi kesi mpya 19 ndani ya jamii.
Karantini na vizuizi katika kila jimbo na wilaya:
Usafiri
Msaada wakifedha
Kuna mageuzi kwa malipo ya janga ya UVIKO-19, punde majimbo yatakapo fikisha viwango vya 70% na 80% ya watu ambao wame pata chanjo kamili:
- Pata hapa taarifa na maelezo katika zaidi ya lugha 60
- Pata mwongozo unao faa kwa jimbo au wilaya unako ishi: , , , , , , .
- Pata taarifa kuhusu .
Tazama rasilimali zilizo tafsiriwa nakuchapishwa na Huduma ya mawasiliano ya idara ya afya ya tamaduni nyingi ya NSW:
Pata hapa taarifa kuhusu zahanati za chanjo katika kila jimbo na wilaya: