

This article is more than 1 year old
Wanne wakamatwa kuhusiana na vifo vya Kelvin Kiptum na Gervais Hakizimana
Wakenya na wapenzi wa riadha kote duniani, walitikiswa kwa taarifa za vifo vya Kelvin Kiptum na mwalimu wake Gervais Hakizimana.
Published 15 February 2024 10:02am
Updated 15 February 2024 1:04pm
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Image: Kenya's Kelvin Kiptum poses with his coach Rwandan Gervais Hakizimana (R) next to the clock marking Kiptum's time after winning the 2023 Bank of America Chicago Marathon in Chicago, Illinois, in a world record time of two hours and 35 seconds on October 8, 2023. (AFP / KAMIL KRZACZYNSKI/AFP via Getty Images)
Imeripotiwa wawili hao walifariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali. Abiria watatu wakike aliyekuwa ndani ya gari hilo, alipata majeraha machache nakuhudumiwa hospitalini.

The crashed car that Marathon world record-holder Kelvin Kiptum was driving sits in front of the Police Station in Kaptagat, Kenya, 12 February 2024. Source: EPA / STR/EPA/AAP Image
Maombi hayo yame jibiwa kwa wanaume wanne walio tembelea familia ya marehemu Kelvin siku chache kabla ya kifo chake na kukataa kujitambulisha, wame kamatwa na wanaendelea kuhojiwa kulingana na kamanda wa jeshi la polisi la Keiyo Bw Abdullahi Dahir.
Wanne hao wanatoka Kaunti ya Uasin Gishu.
Tuta wapa taarifa zaidi punde tutakapo zipokea.
Share