Kosa dogo laweza sababisha marufuku yaku omba viza kwa muda wa miaka 10

Greens Seantor, Nick McKim

Greens Seantor, Nick McKim Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Kuna ongezeko kwa wasi wasi kuhusu mageuzi kwa masharti ya viza ambayo yanaweza sababisha mtu anaye toa taarifa ya uongo katika ombi la viza, kupigwa marufuku yaku omba viza kwa muda wa miaka kumi.


Mageuzi yaliyo fanywa mapema mwezi huu yana husiana na aina tofauti za viza za mpito, viza za wanafunzi, familia na uhamiaji ziki jumuishwa.

Wataalam wame onya kuwa hata kosa dogo, ama kosa lisilo lakusudi linaweza sababisha athari mbaya.


Share