Makundi yawafanya biashara yanataka kupunguzwa kwa viwango vya marupurupu yawatu wanao fanya kazi Jumapili, yawasilishwe haraka iwezekanavyo.
Mjadala kuhusu viwango vya malipo waendelea wakati uajiri wa wafanyakazi wakigeni wasitishwa
Waandamanaji wakionesha hisia zao kuhusu kukatwa kwa viwango vya malipo, mbele ya ofisi ya tume ya kazi. Source: Picha AAP
Mjadala kuhusu kupunguzwa kwa viwango vya marupurupu ume pamba moto mjini Canberra, wakati wadau wanaendelea kutofautiana kuhusu muda utakao chukua kwa mabadiliko yaliyo afikiwa kuwasilishwa.
Share