Djay Daffy aweka wazi sababu za kuacha chuo

Djay Daffy.jpg

Sekta ya burudani nchini Kenya, ina endelea kushuhudia ujio wa vijana wenye vipaji vya kila aina.


Djay Daffy ni mmoja wa vijana hao, ambao kwa sasa wame teka nakutawala katika sekta hiyo na thibitisho ni idadi ya mialiko anayo pokea ndani na nje ya nchi kufanya kazi.

Djay Daffy alitembelea SBS Swahili alipokuwa katika ziara yake nchini Australia hivi karibuni. Alifunguka kuhusu maamuzi magumu aliyo fanya kuacha masomo chuoni, na kikao alicho lazimika kufanya na wazazi wake, kuwa eleza sababu zakuacha chuo.

Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share