Taarifa kuhusu mfumo wa bunge la Australia kwa raia wapya na wahamiaji

Somo la ushiriki waki raia

Somo la ushiriki waki raia Source: SBS

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Je unaweza penda kurejea shuleni, kujifunza kuhusu maswala ya uchaguzi na kupiga kura?


Mjini Perth, mafunzo mapya yameundwa kusaidia kufafanua katiba ya Australia na bunge kwa wahamiaji.

Mafunzo hayo yamekuwa kivutio kikubwa kwa vikundi vingi vya jamii.


Share