Wame sema tatizo hilo halita tatuliwa haraka na suluhu inahitaji rasilimali zaidi, kwa miradi inayo ongozwa na jamii na kupunguzwa kwa swala hili kutumiwa kisiasa.
'Kama tunamiliki tatizo, lazima tumiliki suluhu pia'

Waziri wa maswala ya ndani Peter Dutton adai, wakazi wa melbourne wana hofu kuenda migahawani kwa sababu ya magenge ya vijana waki Afrika Source: AAP
Viongozi wa jamii zawa Afrika wame kutana mjini Melbourne kujadili mbinu bora yaku kabiliana na swala la vurugu la vijana.
Share