Mwongozo wa makazi: Jinsi yaku wasilisha fomu ya kodi

Kifaa cha elektroniki chaku fanyia hesabu

Kifaa cha elektroniki chaku fanyia hesabu Source: Public Domain

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Ni wakati wa kodi. Hiyo inamaana kwamba mwaka wa fedha wa 2015 - 2016 una karibia kuisha.


Ni wakati wa kusanya rekodi za kodi, kwa hiyo kila mtu nchini anafursa yaku wasilisha fomu za kodi.

Kusaidia katika mchakato huu, Ofisi ya Kodi ya Australia ama ATO kwa ufupi, hutoa msaada wa mifumo ya kuwezesha watu kujua jinsi watatekeleza mchakato wa kujaza fomu ya kodi.

 

 

 


Share