Takriban 15% ya vijana wenye umri wa miaka kati ya 12 na 17 wame vuta bangi; wakati mmoja kati ya vijana 50 wame tumia cocaine or amphetamines. Kwa wazazi wengi kutoka jumuiya zawahamiaji, wengi wao wanakumbwa na tatizo laku kabiliana na matumizi ya mihadarati.
Mwongozo wa makazi: mjadala wa matumizi ya mihadarati katika familia yako
Watu washikana mkono Source: pixabay public domain
Share