Mwongozo wa Makazi: Mfumo wa siasa wa Australia

Bunge ya taifa mjini Canberra, Australia

Bunge ya taifa mjini Canberra, Australia Source: Getty

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Matokeo ya uchaguzi huu yata toa nafasi za wambunge 150 ndani ya nyumba yawa wakilishi, 76 ndani ya seneti na hatimae yata baini atakaye kuwa kiongozi wa taifa.

Je uchaguzi mkuu huamuaje serikali itakayo ongoza taifa? Mtangazaji wetu Frank Mtao ana maelezo zaidi.

 

 


Share