Je wajua kama unatoa viungo vya mwili wako unapo aga dunia, unaweza okoa maisha au kuboresha maisha ya angalau watu kumi?
Wakati kuna maelfu yawa Australia ambao wana subiri katika orodha ya wanao hitaji viungo vya mwili naku pokea matibabu tofauti, ni muhimu kwa watu wengi zaidi kutoa viungo vyao.