Mwongozo wa Makazi: Jinsi ya kujikinga na janga la moto Australia

Huduma ya wazima moto wa NSW kazini

Huduma ya wazima moto wa NSW kazini Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Kwa hali ya joto linapoongezeka tukiwa katika majira ya kiangazi, hatari ya kupata moto wa vichaka inaongezeka.

Kwa hiyo, jinsi gani ya kujiandaa kwa ajili ya janga la moto huo na jinsi gani utakuwa salama? Pata kujua zaidi kuhusu janga hili na jinsi ya kujilinda.

Ili kujua zaidi juu ya usalama wa moto wa vichakani, jipatie nakala ya mpango wa moto wa msitu ambazo unaweza kuzipata katika lugha yako, au waweza tembelea tovuti ya mamlaka ya moto ya kitongoji chako.

Taarifa muhimu:

NSW Fire Rural Service
Fact sheets in 12 languages

Victoria Country Fire Authority
Publications in 34 languages

South Australia Country Fire Service
Resources in 17 languages

Western Australia Department of Fire and Emergency Services
Translated bushfire publications in 18 languages

Queensland Fire and Emergency Services

Northern Territory Fire and Rescue Service

Tasmania fire Service

ACT Rural Fire Service


Kama hauwezi pata taarifa unayo hitaji katika lugha yako, unaweza wasiliana na shirika linalo toa huduma ya Utafsiri na Ukalimani kupitia namba hii: 131 450

 


Share