Mwongozo wa Makazi: Huduma kwa walezi

Msaada wa ulezi

Msaada wa ulezi Source: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Walezi wengi hufanya kazi bila malipo au msaada, na mara nyingi hukabiliwa na vikwazo vya lugha, kutengwa na unyanyapaa wakitamaduni.

Tarehe 16 hadi tarehe 22 ya mwezi wa Oktoba hujulikana kama wiki yawahudumu kitaifa, wiki hii hutoa fursa yakuonesha uungaji mkono kwa kazi muhimu ya walezi pamoja na mahitaji yawalezi wanao toa msaada kwa jumuiya tofauti.

 


Share