Wagonjwa kutoka mazingira mbali mbali wanakabiliana na changamoto za ziada, hususan katika swala laku gundua ungojwa huo mapema, pamoja nakupata msaada unao stahili kukabili mahitaji yao.
Mwongozo wa Makazi: Huduma ya wahamiaji wenye ugonjwa wa akili
Source: Getty Images
Dementia ni ugonjwa wa akili ambao si sehemu ya kawaida yaku zeeka, hata hivyo shirika la Alzheimers Australia lime tabiri kuwa kufikia katikati ya karne hii, idadi ya watu wapatao milioni wata ishi na ugonjwa huo.
Share