Mbinu moja maarufu yaku nunua nyumba nikupitia mnada ila, kuna mitego mingi kwa watu ambao hawa elewi masharti na wana weza salia na makosa yenye gharama kubwa.
Mwongozo wa Makazi: Je wajua lakufanya kwenye mnada?
Wanunuzi wa nyumba wachunguza bango la mnada Source: Picha: Getty Images
Wito wa mwana mnada akisema kwa kimombo Going one, going twice, sold! ni kawaida katika nyumba nyingi zinazo uzwa nchini Australia.
Share