Mwongozo wa Makazi: Wajua jinsi yakupata huduma ya watoto Australia?

child care

Source: Picha: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Maombi ya huduma ya watoto inayo faa yanaendelea kuongezeka wakati idadi kubwa yawanawake wanaendelea kujiunga katika soko la ajira.


Gharama ya huduma hiyo inatofautiana, na mara nyingi nivigumu kuelewa jinsi yakutumia mfumo huo.

Kwa hiyo, unawezaje tambua huduma zilizopo na kama familia yako inafuzu kutumia ruzuku ya serikali?


Share