Mwongozo wa makazi: Kila kitu unachohitaji kujua jinsi ya kufanya katika masuala ya marejesho ya kodi hapa Australia

Muda wa kodi

Muda wa kodi Source: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Muda wa kodi ni kipindi ambacho Waustralia hukamilisha mahesabu ya marejesho ya ulipaji kodi baada ya mwisho wa mwaka wa fedha Tarehe 1 Mwezi wa Saba.


Ni muda wa kuangalia kama malipo sahii ya kodi yalilipwa na kama kuna makato yoyote unaweza yadai urejeshewe.

Inaweza kuwa pia na maana ya marejesho ya pesa mfukoni mfukoni mwako baada ya marejesho ya kodi.

Mwandishi wetu FRANK MTAO anafafanua zaidi jinsi ya kufanya maombi ya marejesho ya kodi.

 

 


Share