Mwongozo wa Makazi:Malezi kwa mtoto wa mazingira magumu Australia

Familia yashikana mikono

Familia yashikana mikono Source: Picha: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Kuna ongezeko la wito kwa familia kutoa makazi salama na upendo kwa watoto wasio kuwa na familia au walio tengwa na familia zao.


Kuna manufaa mengi kumkaribisha nyumbani mwako, mtoto kutoka jamii yako na anaye zungumza lugha yako.

Pia walezi kutoka jamii za asili ya tamaduni mbali mbali, wana hitajika sana.

Kwa hiyo unawezaje kuwa mlezi?

 

 


Share