Watoto wa wahamiaji mara nyingi hukabiliana na mazingira magumu wanapokuwa wanajiunga na mazingira mapya ya shule.
Mwongozo wa Makazi: Jinsi yakumsaidia mtoto wako kuzoea mazingira ya shule Australia
Wanafunzi wakimbia shuleni Source: Picha: Getty Images
Kuanza kwenda shuleni ni hatua muhimu sana kwa watoto, na familia zao kuanza kutulia na kuyazoea mazingira ndani ya Australia.
Share