Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku pata kodi ya mafao ya familia

Familia iki jiburudisha

Familia iki jiburudisha Source: Picha: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Serikali ya shirikisho hutoa aina mbali mbali ya malipo kusaidia familia, malipo hayo hujumuisha kodi ya mafao ya familia.

Unajua kama unaweza pokea msaada huo, na jinsi unaweza upokea pamoja na mabadiliko yatakayo jiri tarehe mosi Julai?

 

 


Share