Mwongozo wa makazi: jinsi yakubadili jina lako

Watu wakipiga foleni

Watu wakipiga foleni Source: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Huenda ikawa ni sababu wame owa au kuolewa, wamepewa talaka, wanapenda jina lingine au kwa sababu wanataka kufanya baadhi ya hati ziwe rasmi.

Licha ya mchakato waku badili jina kuwa rahisi, kuna wasiwasi baadhi yawa hamiaji hubadili majina yao kwa ajili yaku epuka ubaguzi.

 

 


Share