Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku jaza fomu ya sensa

Watu kutoka tabaka mbali mbali

Watu kutoka tabaka mbali mbali Source: pixabay public domain

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Mwaka huu sensa ita fanywa tarehe 9 Agosti, inatarajiwa kuwa tafiti kubwa zaidi katika historia ya Australia.Afisa ya takwimu ya Australia (ABS) inatarajia kuhesabu idadi ya watu ipatayo milioni 24 kutoka zaidi ya nchi 200 ambao pia wanazungumza zaidi ya lugha 300.


Hesabu hiyo hufanywa kila miaka mitano, na sensa hubaini tabia fulani za watu. Takwimu hizo hutumiwa pia kusaidia kupanga siku za usoni za taifa.

Mwaka huu inatarajiwa watu wengi wata fanyia sensa mtandaoni.

 

 


Share