Kwa wahamiaji wachanga, mafunzo ya kazi ni njia bora yaku anza kazi wanayo taka nchini Australia.
Mafunzo ya kazi inajumuisha muda ulio tumia katika kazi uliyo lipwa kufanya pamoja na mafunzo na inaweza kamilishwa kwaku ifanya pole pole, katika muda ulio afikiwa au ukiwa bado shuleni.