Mwongozo wa makazi: Jinsi yakupata nyumba ya umma Australia

Nyumba za umma

Nyumba za umma Source: Picha: FlickrPaul Sableman CC BY 2.0

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Vikundi vya jamii tofauti nchini kote hushirikiana na serikali kuwasaidia wanao hitaji msaada zaidi, kuwa na suluhu zenye ufanisi na endelevu.

Ila moja ya suluhu hizo, ambayo ni nyumba za umma, kwa sasa imekuwa ngumu kupata.

 

 


Share