Mwongozo wa Makazi: jinsi yakutafuta kazi

Fundi wa umeme kazini

Fundi wa umeme kazini Source: Pixabay/Public Domain

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Uhaba wa uzoefu wa kazi nchini Australia pamoja na hali yakutoelewana miongoni mwa tamaduni mbalimbali, nayo inaweza toa vikwazo vya ziada.

Wanao tafuta ajira wanaweza tumia mfumo unao itwa: "Jobactive", ambao ni mfumo wa serikali ya Australia unao kutanisha wanao tafuta ajira na waajiri kwa ajili yakupata ajira.

 

 


Share