Madaktari wa familia hujulikana pia kama GPs nchini Australia.
Raia wote wa Australia, wakazi wakudumu na baadhi ya watu wenye viza fulani wanaweza pata kadi ya tiba ya Medicare. Kadi hiyo husaidia mgonjwa kupokea matibabu bila malipo au kupunguza gharama yamatibabu toka kwa madaktari na wataalam.