Ili kuziba mwanya huu, kuna tume nane za msaada wa kisheria hapa Australia, moja kwa kila jimbo na kitongoji.
Madhumuni ya tume hizi za misaada za kisheria ni kuwasaidia watu wasiokuwa na uwezo wenye matatizo, na waustralia wapya waliowasili wenye mahitaji ya haki za kisheria.