Mwongozo wa Makazi: Malipo ya ada ya chuo Australia

Wahitimu chuoni

Wahitimu chuoni Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Haishangazi kuwa 90% ya wanafunzi huchukua mkopo kulipa ada ya chuo.

Kuna aina tofauti za mikopo, pamoja na miradi ya udhamini, kwa ajili yakuwasaidia wanafunzi na ada zao.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu mfumo wa mikopo ya wanafunzi, tembelea tovuti ya msaada wa masomo.

Anwani ni: ().

Na kwa taarifa ya ziada kuhusu mfumo wa udhamini kwa wakimbizi na waomba hifadhi, tembelea tovuti ya shirika la Refugee Council


Bofya hapa chini kwa taarifa ya ziada:
Study Assist - Help paying my fees

Scholarships for asylum seekers and refugees

New HELP overseas obligation

Universities Australia



Share