Kwa mujibu wa shirika la Australian Institute of Health and Welfare, makazi, matatizo yakifedha na unyanyasaji wa nyumbani ni baadhi ya sababu tatu kubwa ya ongezeko la ukosefu wa makazi.
Katika makala haya, SBS itachunguza masaibu ya wasio kuwa na makazi, katika bustani moja mjini Brisbane. Makala haya yame jiri wakati wiki ya uelewa wa uhaba wa makazi inaanza nchini.