Ni muhimu sana kupata msaada haraka, iwapo mwathirika atakuwa na fursa yakupona anapo kabiliwa na ugonjwa huo. Wagonjwa kutoka jumuiya zawa hamiaji wanaweza kabiliwa na changamoto za ziada, kupata msaada unao stahili.
Mwongozo wa Makazi: Mwathiriwa wakiharusi anahitaji msaada wa haraka
Picha ya ubongo Source: Public Domain
Mmoja kati yawa Australia wasita atakabiliwa na kiharusi katika maisha yake, hiyo ni kwa mujibu wa shirika la Stroke Foundation.
Share