Mwongozo wa Makazi: Faida ya kufanya kazi za kujitolea

Wafanya kazi wakujitolea wapakua chakula

Wafanya kazi wakujitolea wapakua chakula Source: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Australia ni taifa la kusadia na karibu watu milioni sita wanajihusisha katika kazi za kujitolea.


Utafiti unaonyesha kwamba asilimia 96 ya wale ambao huchangia muda wao kwa wema zaidi kupata furaha zaidi katika maisha.

Lakini kwa watafuta kazi, wanaohangaika kupata kazi, kujitolea mara nyingi kunaweza kuweka msingi kwa ajili ya ajira ya baadaye.

Kwa maelezo zaidi kuhusu au wapi unataka kufanya kazi za kujitolea, tembelea tovuti ya Volunteering Australia www.volunteeringaustralia.org


Share