Mwongozo wa Makazi: maelezo kuhusu ukosefu wa ajira nchini Australia

Watu wanao tafuta ajira wakiwa kwenye foleni

Watu wanao tafuta ajira wakiwa kwenye foleni Source: Picha: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Viwango vya ukosefu wa ajira nchini Australia vime endelea kusalia katika 5.7% kwa mwezi wa tisa mtawalio, kwa mujibu wa data ya mwezi wa pili 2017 ya afisi ya takwimu. Msaada upo kwa wanao tafuta ajira.



Share