Mwongozo wa Makazi: Ni viza zipi unaweza omba kuwaleta wazazi Australia?

Baba na bintiye

Baba na bintiye Source: Getty Images

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Ni swala la busara kwa wahamiaji ambao wame jenga maisha yao Australia kuwataka wazazi wao wawe karibu yao.


Ila kupata viza ya mzazi inaweza chukua muda wa miaka thelathini.

 

Hata hivyo, baadhi ya familia ambazo zina uwezo, ziko tayari kulipa gharama kubwa kuharakisha mchakato huo.

 

 


Share