Mwongozo wa makazi: Mtu akipotea utafanyaje?

Bango la watu walio potea nchini Australia

Bango la watu walio potea nchini Australia Source: Serikali ya Australia

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Kila saa watu wanne hupotea nchini Australia, wakati wengi wao hupatikana, kupotea kwa mtu mmoja kunaweza athiri maisha ya watu wengine 12, hiyo ni kwa mujibu wa kituo cha uratibu cha watu walio potea nchini.


Wiki hii ni wiki ya watu walio potea nchini, ina anza tarehe (31 Julai-6 Agosti). Lengo la wiki hii niku ongeza uelewa kuhusu athari kwa familia na jumuiya mpendwa wao wanapo potea.

 

 


Share