Nisiku yaku adhimisha wakati meli 11 za uingereza zilipo wasili katika bandari ya Port Jackson na Gavana Arthur Phillip ali inua bendera ya uingereza katika eneo la Sydney Cove tarehe 26 January, 1788.
Hata hivyo waAustralia wengi wa asili wanachukua siku hiyo kama siku yaku vamiwa au kupona.