Siasa za Australia mwaka huu

Maseneta wa sherehekea kupitishwa kwa muswada waku halalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja ndani ya seneti.

Maseneta wa sherehekea kupitishwa kwa muswada waku halalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja ndani ya seneti. Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Ndoa za jinsia moja ziliharalishwa, Seneta wa chama cha Labor kujiuzulu kutokana na tuhuma za ushawishi wa Wachina na mgogoro wa Katiba ulitishia utawala wa Malcolm Turnbull.

Unaweza kutarajia shutuma zaidi za uraia pacha kuendelea mwakani 2018, kwa kuwaona wanasiasa wengine zaidi wakiburuzwa Mahakama Kuu.

Na kutakuwa na purukushani zaidi ya kisiasa juu ya kodi ya mapato, uhuru wa kidini na ufadhili wa chuo kikuu.


Share