Wiki hii mjini Canberra 23Machi2018

Bunge la taifa la Australia Source: AAP
Katika wiki iliyo anza kwa viongozi wa ukanda wa ASEAN wakijumuika mjini Sydney, ambako wali jadili pendekezo laku jumuisha Australia katika ASEAN, wiki hii ilikuwa yenye shughuli nyingi katika siasa nchini Australia.
Share