Wiki hii mjini Canberra 30Machi2018

Kikao cha bunge la taifa la Australia

Kikao cha bunge la taifa la Australia Source: AAP

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Bunge la taifa linapo elekea katika mapumziko marefu kabla ya bajeti ya shirikisho kutangazwa mwezi Mei, swala la kodi lime kuwa mada ambayo haita isha haraka. Hebu tufanye tathmini ya kikao cha bunge la taifa wiki hii kabla ya mapumziko ya pasaka.



Share