Wazazi wanaweza msaidiaje mtoto kupona kiwewe?

Group mental health counselling

A diverse group of teenagers sit in a group therapy circle with a councillor. Credit: FatCamera/Getty Images

Iwapo mtoto wako amepata kiwewe ng'ambo au nchini Australia, iwapo ilitokea hivi karibuni au katika siku za nyuma, pakiwa msaada unao faa, mtoto anaweza pona.


Wazazi na walezi wana nafasi muhimu, kuwasaidia watoto kurejesha hisia za kuwa salama na ustawi.


Makala ya Australia ya elezewa, yanatoa baadhi ya mikakati kwa wazazi na wanao toa huduma za malezi, kusaidia mchakato wa uponaji wa watoto.


Share