Wakenya nchini Australia waombea uchaguzi mkuu wa amani

Bango la maombi ya uchaguzi mkuu wa Kenya

Bango la maombi ya uchaguzi mkuu wa Kenya Source: Picha: Swazz Damu

Ina salia siku chache kwa uchaguzi mkuu nchini Kenya kufanywa, wagombea wame zunguka nchini kote waki uza sera zao.


Wakati huo huo nchini Australia, vijana kutoka jamii yawakenya wame andaa mechi yaku hamasisha amani katika uchaguzi mkuu. Mechi hiyo itafuatwa na ibada maalum ya maombi pamoja na viburudisho.

Tukio hilo litakuwa tarehe 6 Agosti 2017 katika uwanja wa: Jones Park, 35 Banks Street, Mays Hill, NSW 2145.

 

 

 


Share