Chama cha Greens kime zindua sera yake ya kampeni ya uchaguzi mkuu kwa elimu, wame weka mpango wa dola bilioni 46.5 kwa elimu ya bure chuoni na TAFE.
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimeondolewa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, afisa mkuu wa tume ya uchaguzi amesema siku ya Jumamosi, siku chache baada ya kiongozi wa chama hicho kushtakiwa kwa uhaini kwa madai ya kutaka kuvuruga uchaguzi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.