Leo tuta tazama huduma pana ambazo, maktaba za umma hutoa nchini Australia.
Kote nchini Australia, maktaba za umma ni mwenyeji wa zaidi ya vitabu milioni 40 ambavyo vime andikwa katika Kiingereza na lugha zingine ila, jukumu lao ni zaidi yaku kopa.
Katika msingi wake, maktaba zina husu mahusiano.