Katika mazungumzo na SBS Swahili, Sean MMG alifunguka kuhusu nafasi ya vyombo vya habari vya kitamaduni kusambaza kazi za wasanii.
Alifunguka pia kuhusu jinsi mitandao ya kijamii ya kisasa, imewafungulia milango wasanii chipukizi ambao kawaida kazi zao huwa hazi chukuliwei na vyombo hivyo vya habari vya kitamaduni.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.