Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru wa Marekani ambao ume tikisa dunia nzima.


Kiongozi wa upinzani ame ahidi $15 milioni kwa utafiti wa mbinu zaku zuia kujiuwa alipo tembelea makao makuu ya shirika la Lifeline mjini Melbourne.

Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, Tundu Lissu, amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, na kusomewa shitaka la uhaini baada ya kukamatwa mkoani Ruvuma nchini humo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share