Nick Xenophon ajiondoa katika bunge la taifa

Seneta Nick Xenophon akiwa mjini Adelaide baada ya tangazo lake

Seneta Nick Xenophon akiwa mjini Adelaide baada ya tangazo lake Source: AAP

Seneta Nick Xenophon amekana madai kuwa ame ondoka katika siasa zaki taifa kwa sababu ya mgogoro wa kesi za uraia pacha.


Bw Xenophon ametangaza kuwa ata kuwa mgombea katika uchaguzi wa Kusini Australia mwaka ujao.

Kiti chake cha seneti kita rithiwa na mgombea mwingine wa chama cha NXT.


Share