Taarifa ya Habari 8 Aprili 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Get the SBS Audio app

Other ways to listen


Published 8 April 2025 12:20pm
Updated 8 April 2025 3:21pm
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS

Share this with family and friends


Serikali ya Albanese imesema uwekezaji wa serikali wa $1 bilioni moja inatambua pengo muhimu la wafanyakazi katika huduma ya afya ya akili inayo stahili fanyiwa kazi.


Upinzani wa mseto utafuta sera yake ya uchaguzi kwa kumaliza mipangilio yakufanyia kazi nyumbani kwa wafanyakazi wa umma na, kubadili mipango yake yakuwafuta wafanyakazi elfu 41 kutoka ajira za wafanyakazi wa madola.

Rwanda inaadhimisha miaka kumbukumbu ya miaka 31 ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 yaliyopelekea mauaji ya watu 800,000 katika muda wa siku 100.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share