Maadhimisho ya miaka 10 misa za jumuiya ya Kiswahili

Kenyan community members at the 2014 Mashujaa Day commemoration in Sydney, Australia Source: gode
Wakati wa sherehe za maadhimisho hayo, Fr Njenga na Gitau walitoa wito wa amani, upendo na umoja miongoni mwa Wahamiaji kutoka ukanda wa wanaozungmza Kiswahili.
Share