Wakazi katika maeneo ya kanda ya Australia, wataka serikali iongoze idadi yawakimbizi wanako ishi

Wanaharakati wanao tetea haki za wakimbizi katika maeneo ya kanda ya Australia Source: rar
Shirika la watetezi wa wakimbizi la kandani, lime sema kuna ongezeko la watu wanao wakaribisha wakimbizi katika jamii za kandani.
Share