Tuta tazama kwa ufupi sera muhimu ambazo chama cha Labor kili ahidi kufanyia kazi wakati wa kampeni ya uchaguzi.
Anthony Albanese ana tarajiwa kusalia kuwa Waziri Mkuu wa Australia, kwa sababu chama cha Labor ndicho chama tu ambacho kina weza unda serikali.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.